Home Search Countries Albums

Tabibu

KUSAH

Tabibu Lyrics


Ramba Tutoke
Tubonge
Najua ushalia Sanar na Mapenzi
Najua ushazoea ady Kudanganywa danganywa
Najua Hapo ulipo Moyo
Umejawa ganzi
Naona Ushazoea ady Kudanganywa danganywa
Kuja tabibu nipee maradhi Yako
Nieleze Shida zako
Niambie yanayo kusibu na yanayo umiza Roho yako
Mama Sitoharibu sitoumiza Roho yako
Walipiga parapanda wakataka kukuzika
Hasira zilinipanda na Mimi nilikwazika
Ila ya kwamba Ila kidonda sina ya kupa
Mapenzi ukayatupa kwa floor

Ukasema ah ah ah ah
Mapenzi ah ah ah
Ukasema ah ah ah
Mapenzi ah ah ah

Aaaah aaaah
Tuturuturuturu
Oooh mama mama
Mama mama wewe sio wa Kushare Bwana
Usishare Bwana
Uzuri wako haufanani na Kulizwa lizwa
Eti kuumizwa Saa Vipi Penzi linakuumiza
Basi atupe magongo
Nikubebe kwa Mgongo
Mimi nakuona mchongo
Nizalie katoto
Kafunge mdomo
Alisema ya kwamba unanuka pasi na Kidonda
Na Mimi na apa ya kwamba naweka Kando

Ukasema ah ah ah
Mapenzi ah ah ah
Ukasema ah ah ah ah
Mapenzi ah ah ah ah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Tabibu (Single)


Added By : Its marleen

SEE ALSO

AUTHOR

KUSAH

Tanzania

Kusah is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE