Home Search Countries Albums

Jah Jah

TOMMY FLAVOUR Feat. ALIKIBA

Jah Jah Lyrics


Oh Baba, oh Baba
Naomba niongoze
Oh Jah Jah, oh Jah Jah
Ntakufata nisipote
Kwenye mabalaa umenipitisha 
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakitaka niende chini wanipandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Bira nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Oh Baba

Oluwa oh Jah Jah
Wanijua kiundani 
Ukunilinda maishani yeah
Sikulipi chochote 
Sifati yako yote 
Ila bado hujaniacha, uko na mimi
Kwenye mabalaa  umenipitisha
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakitaka niwe chini ukanpandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru uuh uuh uuh
Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Mi bora nikushukuru uuh uuh uuh
Ooh Acha nikushukuru uuh uuh uuh
Jah Jah, jah jah
Oh Jah Jah
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru 
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru 
Acha nikushukuru 
Acha nikushukuru 
Acha nikushukuru

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Jah Jah (Single)


Copyright : ©2021 Ziiki & Kings Music Records.All Rights Reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

TOMMY FLAVOUR

Tanzania

Tommy Flavour is a singer, songwriter/ artist from Tanzania. Signed under Kings Music. ...

YOU MAY ALSO LIKE