Tekenya (Remix) Lyrics
Its Lava again
Tekenya, tekenya
Kamenitekenya tekenya
(Its S2kizzy Beiby)
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya kamenigusa kunako
Eeeh kunako
Kanipekenya kamenipofua macho
Eeeh macho
Kanafanya makusudi
Kama hakataki pipi(Doli doli)
Kanafanya nakwenda rudi
Bodaboda pikipiki (Toroli roli)
Kanitekenya! Kanipandisha midadi
Nikimuona begi hazikabi
Kanitekenya! Moyo mpasuko radi
Mapigo mbio bila ya idadi
Kanitekenya! Shepu lake la Nicki Minaji
Mtoto ananimalizia mtaji
Kanitekenya! Akili kwake hazichaji
Natapa tapa kama mfa maji
Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)
Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye kwapa(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
(Vanny Boy)
Nikikatekenya kanatekenyeka
Yaani(hahahaha) kanacheka cheka
Kamenitekenya kanavyotetemesha
Wami kitonka, sekenke nasereleka
Tekenya! Mikono juu ka nina mabawa
Tekenya! Upepo sukuma ngalawa
Tekenya! Ukizungusha mama napagawa
Tekenya! Hadi birika lamwaga kahawa
Ukikatika kigugumizi
Masai kanipa dawa nishatafuna mizizi
Wanidatisha kichizi chizi
Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi
Pinda mgongo! Ukunje mikono
Twende taratibu kama konokono
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Kama mbuzi kagoma kwenda
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Kizombi ninatoka milenda(Kanitekenya!)
Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)
Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye kwapa(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)
Pinda mgongo! Kishingo weka juu
Kunja na mikono kama kangaroo
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Kama umejinyonga unaning'inia
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Fanya unaibuka unazamia
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Paramia ukuta chungulia
Kukuki shingo, shingo, kukuki shingo
Yaani nyatu nyatu nanyatia
(Ayolizer)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tekenya (Remix) (Single)
Copyright : (c) 2020 Wasafi Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LAVA LAVA
Tanzania
Lava Lava is a Tanzanian musician signed under Wasafi WCB Record label. ...
YOU MAY ALSO LIKE