Kanyaga Lami Lyrics
Timeless Noel… Roundi hii tupige route eleven
Ey! I go by the name Jabidii (kanyanga lami)
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
[VERSE 1]
Koma Jonah
Sikatai kutumwa in Heaven (Kanyanga)
Hata kama kuna njeve
Ata upande jet hauezi fika Heaven
Lazima uwe na Christ
Odi wa mtaa… Ukona dream ya kuwa star
Haiwezi make ka umekaa
Basi amka
Focus vile inafaa (Kanyanga)
Na utapaa (He Wollan )
The bible is clear about it
If you don’t work son’t eat
And everybody wanna put protein
Kanya kanya kanyanga lami …Kaaaaaa
Kanyanga… Unakanyanga lami
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
[VERSE 2]
Boy child umengangana sana I say
Ukibelieve doo na connection ndio say
Siste! Umetamani sana kuslay
But inakuwa ngumu day by day
It’s simple Psalms 119:105
Your word is a lamp to my feet
Sa ata kwa giza nacheki fiti
Nina mwanga sitishiki
So nakanyanga with confidence (Kanyanga)
Najua God akisema He is so competent (Atatenda miujiza)
Uliza jaco bis the evidence
Ata ikuwe hard Unakanyanga lami
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
Kanyanga buda… Kanyanga
It’s simple. Timeless…
Wana wana wana wanawaka
Wana wana wana wana Power
Walk walk walk walk walk walk
Walk walk walk walk walk walk
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Unakanyanga lami)
Tafu tata.Tafu tata. Tafu tata.. (Kanyanga)
Walk walk walk walk walk walk (Kanyanga lami)
Wana wana wana wana wana….
Wana wana wana waka wana wana wana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Kanyaga Lami (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
TIMELESS NOEL
Kenya
TIMELESS NOEL is a Kenya professional dancer. He started Dancing when he was a little innocent boy s ...
YOU MAY ALSO LIKE