Home Search Countries Albums

Yela Kabisa

TIMELESS NOEL

Yela Kabisa Lyrics


Yela(Yela) Kabisa!
Timeless Noel

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee usilenge ni wewe
Ssh ssh, oya buda, yela
Wee hii message ni yako

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee God anakutambua
Ssh ssh, oya buda, yela
Jitambue

Form ni hii
Wazae maodi na mabombe
Akina Shix, Kartelo pale, Johntez
Jitambue, never feel ashamed(Whaat?)

Sir God anakujua by your name
Mbogi ya kimonyoski, mbogi ya kibandaski
Before uzaliwe, ulikuwa umetambulika
Nakuita winner, nakuita morio

So nikiwa na wewe hakuna kitu ngori ooh
God ashasema, jijue mapema
Long time ungenipata baze nikishikisha jaba
Lakini sai ni unipate church nikisifu jo

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee usilenge ni wewe
Ssh ssh, oya buda, yela
Wee hii message ni yako

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee God anakutambua
Ssh ssh, oya buda, yela
Jitambue

Konkodi akiamini anaeza pita piloti
Have faith ata kama huna noti
Cheki, maybe sai we ni homeless
Trust God, amekusetia manoti

Acha nijiintroduce, mi naitwa Timeless
God amenituma nikushow ya God ni priceless
Nikiokoka nilikuwa jobless na hopeless
But sai, nikibonga blessings ni countless

Favour ni nyingi, blessings kwa wingi
Grace ni sufficient, Baba najua si mimi
Buda(buda), Gala(Gala) okoka wewe
Mungu anapenda wewe

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee usilenge ni wewe
Ssh ssh, oya buda, yela
Wee hii message ni yako

Ssh ssh, oya buda, yela
Wee God anakutambua
Ssh ssh, oya buda, yela
Jitambue

Buda(buda), Gala(Gala) okoka wewe
Mungu anapenda wewe
Baba(baba), Mama(Mama), mtoto wewe
Mungu anapenda wewe

Timeless Noel
Kama kawa mabig up lazima
Big up watu wa Ungwaro
Big up watu wa Kibera
Watu wa Eastlando bigup
Big up ah menge boy
Big up madrum sizey
Wanafunzi wote bigup
Na mkumbuke, Jitambue!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Yela Kabisa (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TIMELESS NOEL

Kenya

TIMELESS NOEL is a Kenya professional dancer. He started Dancing when he was a little innocent boy s ...

YOU MAY ALSO LIKE