Sheshe Lyrics
No no no no (No No)
Nviiri baby (Toti on the beat)
Hapa kumejaa pombe sigara ziko mingi
Visanga zinafanyika kwa wingi
Hauhitaji kutoa shilingi
Nimelipa fare
Vitu tunaona kwa vipindi
Ziko live live cheza chini
Kutesa maji hapa na viti yeah
Wengine wako commando
Abra Cadabra, wengine wajanja
Na watatupanga, tusipojipanga woi
Wengine wako commando
Abra Cadabra, wengine wajanja
Na watatupanga, tusipojipanga woi
Nipate ndani, nipate ndani
Nipate ndani, nipate ndani
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
Nipate ndani kwenye party don dada
Kiwanja kinanuka moshi wa mashada
Kwetu tunanuka machizi na madada
If you know you know
Wengine wanakatika, wengine wamekaa
Wengine wanakamata madada
Wengine wanacheka wengine wamejam
Wengine wameshapoteza rada
Kale kazuri nakataka (Nakataka)
Kanadondoka mi nadata (Nadata)
Kiuno amekijaza mashanga (Mashanga)
Ooh yeah
Wengine wako commando
Abra Cadabra, wengine wajanja
Na watatupanga, tusipojipanga woi
Wengine wako commando
Abra Cadabra, wengine wajanja
Na watatupanga, tusipojipanga woi
Nipate ndani, nipate ndani
Nipate ndani, nipate ndani
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe
Sheshe sheshe sheshe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : King Is King (EP)
Copyright : (c) 2021 001 Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SUSUMILA
Kenya
YUSUF KOMBO a.k.a SUSUMILA was born on 30th april 1983 started music in1999 he started entertaining ...
YOU MAY ALSO LIKE