Hennessy Cypher 2.0 Lyrics
[Boutross]
Eh unazima na quarter
Na Bouti anazika mzinga
Hii kipaji inahitaji kisifa
Keti chini nikupigie hio riba
Nilipull up na denge kwa whip
Nimechapa tequillas
Wanipendi tangu niingie kanitha
Nikapiga masister mamimba
Eey ndo maana sipandi kwa misa
Ju fununu inatembea ka Risper
Success inasakwa daddy
Hakuna siku nimeskia inakuja na kismat
Kwa wiki 250 naingiza
Aki scene na sku izi man adrillers
Nageuza marapper Khalifa
Ju Bouty akiingia wanaingiza
Yes tuna dream but yangu ni biggy
Bouty full rich and juicy
Nakula githeri kwa plate
Na bado najazanga meza na sushi
Si ati msee amefanya ya kwanza na jump
Ni msee ameifanya vizuri
Mgetto alishine na slap
Lakini kibare ilikuja na Lucy
Yeah powerplan kwa korobo
Msela unavutanga vumbi
Top plan si uongo
Ukicheki hizi moves zinakaaga za Ruby
Texture cheki looku
You can tell that a nigga is booming
She fell down alirusha ngumi
Vile nilimpiga the looking
Customer ananipigia mtu
I tell them delayed is cooking
Tangu anifikishe kwa mbulu
Mtaani my opps is snooping
Hands up nashukuru niligeuka winner
Niliacha the loosing
Nastep up hii shughli
Ju nani mwingine atashikilia the movement
[Monski]
All I need is me, I forget 8 feminine
But the all you think you've seen
Hauwezi fake the design
We can never trade ID
Monski is the limit change the vibe
When I avibe forming spirit
Aquarius uh, nimekuja kupick up the pieces
Usiquery us uh, na kama napika si kitchen
We ni petty cash uh, mi nasaka madinga for keychain
Na ni very fast, kama unapita nipishe
I came with a class, you came with the gimmicks
I came with the add, you came in a minute
A boy with the bag, huendi na mimi
My head in the stars I said in a minute
Siwezi surpass then maker na mimi
The bad she buss, Mekatiliki
We itisha buzz ulete shilingi
We itisha pass upewe firimbi
Kwani ni kesho
The way am fly to my destiny
I got standing ovations
For everytime they start to me
So I studied my lessons
With every rhyme am the best of me
Nina money kwa meno
For every smile nionyeshe cheese
You better be you, better let go
Mi sikanyagie I gotta pedal
Watatii niko na kettle
Underdog to the vetflow
Hauta achieve you never get close
So I'll never stop never settle
Never stop never settle
[Elisha Elai]
Beast ting anytime we a set
This street they know who be the best
Kingpin unaeza niitanga vet
Na natema 16 saa zile beat inabang
Ukinicross na ya mboka fathe
Discipline unapata gathee
Hii ni steam imetokeanga hell
Na we are here one time na luku fisa marel
System inamiss stem hadi yutmen
Wamejidismiss hadi kwa ma business
Since then wanastill test
Before mi ni bless mic
Ju walishaguduanga who's next
Still fresh mwili fitness
Nina feel blessed
Otherwise leo nimekuja tu kuspeak less
Ukimess unidiss then
Hakikisha umedeliver vizuri
Ju ni kama kuskip friends
Nikifika wanakubali ni kesho
Nasifika hata shinda Roro na Messi
Pilka pilka kama ni mimi na jeshi
Tunakuanga tumejiamini na chupa za Hennessy
Zinedine ama pia Zidane
Nimejipin vitu real kama drill attack
Hennesy ndani ya chupa ya glass
Napiga sip nikispit wanafeel mafans
Genesis ndo imeanza baba
You never seen hapa coming
Na imefika bas
Nina team ya watu kama punch
Ukinihit hakikisha umejipanga na cash
We never stop, never settle
Tunapanda kupanda coz we ain't never lazy
Panda tops ju mara wanahate
Tukizidi kupanda hizi pande we made it
Ita doc ju natibu aisee
Nadeliver manze tu inaeza niita pedi
Nikirock unaeza niita boss
Kila door mi na knock ikifika ni pesa
Saa zile niko maji nakuwanga ma Hennessy
Kijana flani hatari ametoka pande za D
Matapo wenu wamejazanga bado majealousy
Na wameshindwanga kufika bei ya collabo G
[Rekles]
Kutoka ni mapema
Nafuata pesa we unafuata upepo ka bendera
Teleza ju unalegeza, huwezani na mimi nanii
Kawaida ni kuzika hata akikunywa maji ya uzima
Oya jifiche bana nikifika
Ng'ombe ni ng'ombe ona unajichocha na huna maziwa
Mi siangalii bei nabuy
Mbona mi hushinda najitepa sana ju tei inadai
Ati wewe ni mshy, io ni tu kwa sababu
Hujanicheki nikiwa mangwai
Skylarking shada ka 30
Ngoma ni chafu ju mi huimba rubbish
Kazi ni kazi hata ka kazi ina dhambi
Minister jo wa marraper
Mi bado ni president na bado king
Ni kweli buda ati kidato
Ulikuwa unaokota jo bana ma D
Sitafanya venye mnataka
Mi bana nitafanya tu venye nafeel
Ka ni hater pia the better
Tembeza unanuka makwapa za pig
Aii among' the gyalis
Nyi ni wabaya kwa ground
Kwa ground mko wapi?
Siwezi bishania madam
Cheki buda nakuachia mabaki
Cheki buda mi ni Kanyari
Nitakufanya any for money
After all nikiball nawabore
Ndio maana daily niko kazi
Yeah mkilala nalalisha thao
In one hour nishazistuck kama tano
Nilikuwa jo naziroll
Kwa daro nikapatikana nazo
Moto hapa si husema liwe liwalo
Ndo venye si hufanya Kanairo
We ni jamaa unavalia nani blouse
Ndio maana nakuonyesha madharau
[Xtatic]
X, yeah
Gotta make way, baby
Cause I really go AK Crazy
And I'm really all way way there
They ain't, but ya know tha nothing can't can't phase me
Put 'em all inna day care, wait there
Ain't a job, issa vacay, eazay
When I'm on, ain't no fair play, mayday
I'm the don of the game ey, bang bang
Told ya thisa thisa monalisa
Had ya whole attention, taking notes I see ya
Oh, I gotcha really over thinking
They hold up, wait, who and what is she on
Grateful for the ones that saw the vision
They putting me on and they proud me, yuh
Careful when you wanna run things
Gotta stay hungry, head up, keep it one hundred
Grab a lifesaver, or you gonna be misplaced under my wave, uh
Stevie wonder with the lightsaver
Meaning nobody is safe, so don't try me no
Na tena kuna wasee who should thank me now
Kwa venye nimewapea hiyo time still uh
Feeling like you got a way to get right here bruh
Issa problem when you stay with the right team, uh
Ain't got time to wonder who fake
Kubebwa Fala sio new cheki
I play my part and then I move it
I don't try to be like you babe
What is mine is gonna locate me
If it ain't sina shughuli
Cause the truth is
It'z the passion that really got me on
If You can't do the math, I'm winning when silent
Few can do what I do
I ain't really gotta prove it
This is my zone
Ya ain't checked the time, should be outta here
Every sec' I rhyme, issa problem man
I done tested time, off a couple years
Even with my silence, ain't nobody here
Hawajakaribia
Ain't all that to fear, not that I'm aware
Paving way to make it able for the kids
You know what it is
Now you know the deal
Now you know the deal
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Hennessy Cypher 2.0 (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BOUTROSS
Kenya
Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...
YOU MAY ALSO LIKE