COVID 19 (Corona) Lyrics

Everyday I hope and pray
Corona will go away
Everyday I hope and pray
Corona will go away
Go-Go, Go-Go, Go-Go, Go-Go
Eti, lini utatupa nafasi (Corona, corona)
Corona yoyo punguza kasi
Sisi wanyonge twaishi kwa wasiwasi (Corona, corona)
Wasi wasi moyo, magoti twapiga basi
Umetuzidi, hiyo spidi
Uliyokuja nayo sio ya kawaida
Inatubidi tujitahidi
Kuwa wasafi tusije kupata shida
Mikusanyiko ya watu isepe
Mikono kuwapa watu ikwepe
Bora ukiwapa tu 'Hi' tu usepe
Usisogeleane katu take care
Osha mikono mara kwa mara
Ili tuepuke hili janga
Uso wako kudara dara
Epuka usijeleta janga
Eti, lini utatupa nafasi (Corona, corona)
Corona yoyo punguza kasi
Sisi wanyonge twaishi kwa wasiwasi (Corona, corona)
Wasi wasi moyo, magoti twapiga basi
Sanitize, quarantine
Isolate stay at home
Stay safe remember to pray hard
Keep your distance and always be careful
Together we can beat this virus
Hakuna kama Mungu tumuombe
Hili janga atuondolee
Virusi vya Corona ni jina tu
Lakini kuna jina lililo juu
Kwa majina yote ni Mungu
Everyday I hope and pray
Corona will go away
Everyday I hope and pray
Corona will go away
Go-Go, Go-Go, Go-Go, Go-Go
'But I have told you there is a need
To scale down on the things that we normaly do
On our day to day lives for the purposes of preventing
Corona coming into our midst'
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : COVID 19 (Corona)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SUSUMILA
Kenya
YUSUF KOMBO a.k.a SUSUMILA was born on 30th april 1983 started music in1999 he started entertaining ...
YOU MAY ALSO LIKE