Home Search Countries Albums

Umepaka Nini

GWAASH Feat. NELLY THE GOON, CARLITO, MKALA

Umepaka Nini Lyrics


Wah wah wah wah
Na leo mi si wenu, Itabidi waniokote
Wah wah wah wah
Na leo mi si wenu, Itabidi waniokote

(Man ah bad man ting)

Nayo nayo ka anatesa mweke chamber
Kana moto kanaumiza mweke chamber
Bad girl, bad girl mweke chamber
Chamber chamber mweke chamber

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Nayo nayo asapa ni Carlito
Kuna bash naburuka ka Mosquito
Kabaridi navutia Mamito
Leo kunawaka jo kama jiko...kama jiko

Ndani ya bash watu wamejitepa
Wamesunda shasha hadi kwa ngepa
Nikaita Sasha akawasha shada
Zikashika tukazima jo kwa mkeka

Kurauka nikadai kupiga ngasha
Nikikam Sasha amenipakisha
Pesa kwa bahasha...wah
Pesa kwa bahasha

Nayo nayo ka anatesa mweke chamber
Kana moto kanaumiza mweke chamber
Bad girl, bad girl mweke chamber
Chamber chamber mweke chamber

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Balance your feet, balance your feet
Piga shot mbili tena balance your feet
Kama uko tiki tena buda repeat
Tena repeat, tena repeat

Kama sio taki mi sidai sio a must
Kama sio taki ama kuku ninafast
Hapa ukinyamba kutanuka very fast
An Arsenal nampea worldcup

Mi ni mgenge anatrap vi-crazy
Vitu ziko kwenye koti jo ni kesi
Mfuko iko nyuma imebeba KC
Kwa brain mashashola ninafeel vi-lazy

Round 2 si magoon tumekuja kuwaboom
Kila siku tuko stu tukimake tu mahit
Moshi mbili ju ni hit
Moshi mbili ju imehit

Yoh mzing umepaka nini?
Uko machungli umepaka nini?
We ni riet umepaka nini?
Aiii ai umepaka nini?

Nayo nayo ka anatesa mweke chamber
Kana moto kanaumiza mweke chamber
Bad girl, bad girl mweke chamber
Chamber chamber mweke chamber

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Ua pressure hakuna umbwedede
Shamba yako isikulwe na odede
Nacheza chini najua stori yake ni deep
Eh nilizama ndani walai stori yake ni deep

Ni deep brathe aki ya nani jo ni deep
Nilitrip nikamtip nikadip nika --
Ni deep brathe aki ya nani jo ni deep
Nilitrip nikamtip nikadip

Seti kishash ju ni sheria
Katululu sheria
Nairobi kuwa na mbogi jo ni sheria
Kuzitoka sheria

Nayo nayo ka anatesa mweke chamber
Kana moto kanaumiza mweke chamber
Bad girl, bad girl mweke chamber
Chamber chamber mweke chamber

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda

Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah buda
Umepaka nini? Wah wah wah
Paka nini? Wah 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Umepaka Nini (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GWAASH

Kenya

Fatboy Gwaash aka Mr. Sponyo real name Martin Wagura (Born 1st April 1997) is a Kenyan Gengeton ...

YOU MAY ALSO LIKE