Home Search Countries Albums

WeekenD

STEPH KAPELA

WeekenD Lyrics


Usiku wa, Ijumaa
Kwangu ndo mpango
Mziki na mishumaa
Kam uone mambo
Kam na charger
Mavazi za siku mbili
Siezi kuacha
Home mpaka Jumapili
Si wawili, Pilipili
Sio siri Tulichoma CV
Nikitazama na zama na zima tv
Ni weh wanifanya hivi, yea
Mi sina kiu sina njaa
Nadishi kama mi mudosi
Nambeleza masaa
Nadishi mpaka Jumamosi
Ka tamaa ni makosa
Nimekosa, Niwie radhi baby
Mwingine nimekosa
Kamu closer,
Niingie ndani baby
Ka tamaa ni makosa, Nimekosa
Niwie radhi baby
Nyama ya ndani baby
Nipe samosa

Baby Anadai weekend-D
Baby anadai wikendi
Baby anadai weekend D
Baby anadai wikendi
Tupatane hii wikendi
Come utapata weekend-D
Ka si kila siku
Basi killer yuko pending
Ka si kila siku
Basi ni killer wikendi

Juma tatu kila mtu njia zake
Kwa sasa kila mtu ana kwake
Kumbukumbu za wikendi zikufwate
Zikikulemea zilete nizikamate
Nipe dakika chache
Mi si mjinga niziache
Ngozi nyororo ni ka Versace
Mbali sana na ma rachet
Bei kali don't touch it, yea
Vile nakuchonga
Tangu breko mpaka supper
Vile umeniroga
Nasahau ni nani rapper
Vile nazigonga
Wangedhani nakuchapa
Vile nimebonga
Mi nadhani umenipata yea

Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Na ka unaweza
Wekelea ya kwa meza
Zikiniweza
Meza meza meza
Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Cheza nayo
Cheza nayo cheza
Na ka unaweza
Wekelea ya kwa meza
Zikiniweza
Meza meza meza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Vikky Secrets (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

STEPH KAPELA

Kenya

Steph Kapela is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE