Home Search Countries Albums

Pressure

AVRIL Feat. SSARU

Pressure Lyrics


Oh no

Niko na man's simu flight mode ju yako
Pressure
Kwangu unakuja kuja ni ka ni kwako
Pressure
Safisha juu sipendi hizi vako
Pressure pressure pressure pressure

Unapenda kujua ninaenda enda wapi
Pressure
Unapenda kujua mi na hang around na nani 
Wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure

Nilipo kujua kuna vile ulisumbua
Ulinipata na kasoro we ukataka kuniumbua
Hapo ndio mchanga ulianza kuingia kitumbua
Ulidhani mi ni zuzu unataka kunizuzua
Nashinda offline utadhani sina bundles 
Ona daily nikipanga we unavuruga mipango
Inabidi baby ndo anifunze kukuhandle
Juu huanga nikikuona nakukwepa kama scandal 

Message unatuma nazipatanga
Missed call kibao nazionanga
Nikienda choo unanifuatanga
Ei pressure zanipanda

Niko na man's simu flight mode ju yako
Pressure
Kwangu unakuja kuja ni ka ni kwako
Pressure
Safisha juu sipendi hizi vako
Pressure pressure pressure pressure

Unapenda kujua ninaenda enda wapi
Pressure
Unapenda kujua mi na hang around na nani 
Wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure

Pressure pressure pressure ya nini
Si uniaminii nakudhamini
Uuuuuuuu
All these little girls that have broken your heart 
Tafadhali please don't take it out on me
Iiiiiii iiii iiii 
Iiiiiii iiii iiii

Niko na man's simu flight mode ju yako
Pressure
Kwangu unakuja kuja ni ka ni kwako
Pressure
Safisha juu sipendi hizi vako
Pressure pressure pressure pressure

Unapenda kujua ninaenda enda wapi
Pressure
Unapenda kujua mi na hang around na nani 
Wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure

Unapenda kujua ninaenda enda wapi
Pressure
Unapenda kujua mi na hang around na nani 
Wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure
Pressure pressure
Wacha wacha pressure

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Spirit (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

AVRIL

Kenya

Judith Nyambura Mwangi, better known by her mononym Avril, is a Kenyan singer-songwriter, actress an ...

YOU MAY ALSO LIKE