Kidawa Lyrics

Eka kichwa kwenye bega langu pendo lipande moto
Ukipata time njoo tuwe wawili mama kulia kushoto
Nakiri tena ndo naweka nadhri
Tufurahi tukibaki si wawili
Nakupenda kikweli sio siri
Aii akili mpaka roho yangu umeikabili
Nakuomba mabu njoo unisitiri
Sema yote unotaka tusafiri, aaii
Me and you tuenjoy
Yaani hadi tufanane
Me plus you is the goal
Baby baby
Me and you tuenjoy
Yaani hadi tufanane
Me plus you is the goal
Baby baby
Oh baby njoo vile ambavyo ulivyo
Nami nikushow vile love ilivyo
Nikupe mosi nikupe kionjo
Sitokuboo sitokutoa roho
Mbona unanitenga, mbona unanilenga
Mbona unanipeleka kasi
Mbona unanitenga, na mi nimekupenda
Mbona unanipa wasi wasi
Kidawa, kidawa mpenzi wangu wa roho
Kidawa, nakupenda mpaka basi
Kidawa, aki ya Mungu usinitose roho
Kidawa, utanipa wasi wasi
Kidawa, kidawa wa mama mile
Kidawa, moyo wangu unautouch
Kidawa, kidawa mi niko nawee
Niko nawe kila wakati
Mi nikikucheki natamani nikufuate ila kama hutaki
Unaninyima haki am not happy, Inaniuma roho
Gonga gonga dear, tutagonga dear
Kama boda boda nitakupanda pia
Basi mama inamisha mgongo
Leo nimekutakia mcongo
Wenzio utawapatia uhondo
Yale yamefanyika
Mbona unanitenga, mbona unanilenga
Mbona unanipeleka kasi
Mbona unanitenga, na mi nimekupenda
Mbona unanipa wasi wasi
Kidawa, kidawa mpenzi wangu wa roho
Kidawa, nakupenda mpaka basi
Kidawa, aki ya Mungu usinitose roho
Kidawa, utanipa wasi wasi
Kidawa, kidawa wa mama mile
Kidawa, moyo wangu unautouch
Kidawa, kidawa mi niko nawee
Niko nawe kila wakati
Kidawa, kidawa mpenzi wangu wa roho
Kidawa, nakupenda mpaka basi
Kidawa, aki ya Mungu usinitose roho
Kidawa, utanipa wasi wasi
Kidawa, kidawa wa mama mile
Kidawa, moyo wangu unautouch
Kidawa, kidawa mi niko nawee
Niko nawe kila wakati
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kidawa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LAVIDOH
Kenya
Victor Safari, better known by his stage name LAVIDOH was born and raised in Majengo, Kilifi County. ...
YOU MAY ALSO LIKE