Bwana Nifungulie Lyrics

Nime teseka sana
Lakini Mungu wangu hukuniasha nife
Kwa hivyo sita kufa
Mbali nitaishi mimi
Niyasimulie Mungu
Matendo yako Baba
Matendo yako Baba
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Baba na mama yangu
Wameniasha mimi
Lakini Eewe Bwana
Utanikaribisha Kwako
Kwako Mungu wangu
Nalitupwa mimi kutoka utotoni,
Mungu wangu uuu
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Umeniokoa Baba
Nashinda ya kule mjini
Umeniokoa Baba na taabu ya kule nyikani
Umeniokoa Baba na dhiki ya baharini
Kwa hivyo Mungu wangu haukuniasha nife
Kwa hivyo sitakufa
Mbani nitaishi mimi niyasimulie Mungu
Matendo yakooo
Niyasimulie Mungu matendo yakooo
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
Bwana Nifungulie
Malango ya haki ningie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Stanley Thiaine
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE