Yuko na wewe Lyrics
This one is for you
Moyoni waumia.aaaahhh
This one is for you
Kila mara waliaaaaa
Jacky b
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
Yuko na wewe, yuko na wewe eeehh
Vuta machozi Yesu yuko na wewe
Yuko na wewe, yuko na wewe eeehhh
Vuta machozi, Yesu yuko na wewe.eeeehhh.eenhe
Nikiangalia vizuri
Uko nyumbani pekee yako
Kila kitu kilienda mrama
Ni kama wanakuchukia
Unaona ni vizuri
Ukichukua maisha yako
Hizo zote ni uongo wa shetani
Neno lake Bwana lasema
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
Yuko na wewe, yuko na wewe eeehh
Vuta machozi Yesu yuko na wewe.eehh
Yuko na wewe, yuko na wewe.eeehhh
Vuta machozi Yesu yuko na wewe.eeeehhh.eeennhe
Amka furahia kwani Yesu ana upendo wa milele
Ruka sherehekea kwani kwake kuna amani tele
Usijalishwe na za dunia kwani kwa Yesu kuna yote
Usiskize uongo wa shetani neno lake bwana lasema
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
He will never leave you
He will never forsake you
He will never leave you believe it when i say
Yuko na wewe, yuko na wewe eeehh
Vuta machozi Yesu yuko na wewe.eehh
Yuko na wewe, yuko na wewe.eeehh
Vuta machozi Yesu yuko na wewe.eeehhh eeenhe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : Yuko na wewe (Single)
Copyright : ©2014
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE