Liseme Lyrics

Hamna jambo Yeye asiloliweza
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Liseme liseme litaje litaje

kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Yeye ni Baba wa yatima Yeye ni mume wa wajane

Yeye ni mponyaji Yeye ni mkarimu
Mlinzi mfariji wa ajabu

Mlinzi, mfariji wa ajabu

WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Liseme (Single)
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE