Gongewa Lyrics
Chorea chorea
Motif di don
Nilipata mutu, jana usiku
Nje ya gemi and i’m so mavitu
Vile unanistare (chorea chorea )
We unaniscare (chorea chorea)
Mapenzi ulaya kenya biashara
Sema wapi next na hapo ndo mahali nalala
Mi hukuwanga na charm ukitouch mautam
Alafu naskia ati sikuzi kungongewa mambo ya town
Hibibi nijiset
Kuna nigga anarequest
Hibidi nisare jeans ju the dress ndo the best
Ukizima nachorea mi sijuiangi kungojea
Mu ukinivulia vest the rest najigongea
Ah utagongewa
Na si mayai
We utagongewa
Na si mlango
Utagongewa
Na si mayai
Ah utagongewa
Na si mlango
Mmmm
Inaongea
Na imeenda round sana chorea
Mmmmm kaliongea
Si mayai lakini kaligongewa
Kachuch chude genje
Kanalipiwa kasoup kakae ndethe
Kadai beef lele tumisheveve
I’m not didi, miti kwangu ni veve
Samoro idwa
Samoro okidwa, samoro
Kuna dem anakuchocha, okan gimoro
Si ukam tomorrow
Hapana kukam godoro
Kuchap chics massa ya giza totoro
Mmmm
Ah utagongewa
Na si mayai
We utagongewa
Na si mlango mmmm
Utagongewa
Na si mayai
Ah utagongewa
Na si mlango
Hibidi nibaye to set sababu mi napenda magode (daily)
Hibidi nidoz kwa cell sababu mi nakuwanga loaded (daily)
Hibidi hibidi hibidi bidi didi didi
Hibidi hibidi hibidi bidi didi didi
Hibidi hibidi hibidi bidi didi didi
Ah utagongewa
Na si mayai
We utagongewa
Na si mlango mmmm
Utagongewa
Na si mayai
Ah utagongewa
Na si mlango
Mmmm
Inaongea
Na imeenda round sana chorea
Mmmmm kaliongea
Si mayai lakini kaligongewa
Up ikienda down unaichorea chorea
Na nikarembo unanipotea mbolea
Fam kaa iko chini unaichorea chorea
Aty atisota juuu ya pata n potea
Up ikienda down unaichorea chorea
Na nikarembo unanipotea mbolea
Fam kaa iko chini unaichorea chorea
Aty atisota juuu ya pata n potea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
SSARU
Kenya
Sylvia Ssaru (born on 19th May 2002) aka 'Saru wa Manyaru' is s a Singer, Song writer, ...
YOU MAY ALSO LIKE