Sina Mwingine Lyrics
Nani awezaye nipenda
Zaidi ninavyostahili
Uchungu wa msumari, angestahimili
Nimpate wapi
Nwingine kama wewe
Nuru yangu gizani
Amani yangu mawimbini
Nimpate wapi
Mwingine kama wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Mpole wa hasira
Mwingi wa rehema
Mungu usiyebagua
Mbele zako tuko sawa
Unyonge na udhaifu wangu
Huchoki nao
Pendo lako, huruma zako
Hazina kifani, nimpate wapi
Kipenzi kama wewe
Nipate wapi rafiki kama wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
Sina mwingine, ila wewe
Sitaki mwingine, ila wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Sina Mwingine (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
EMMA OMONGE
Kenya
Emma Omonge is a gospel artist/ songwriter/worshipLeader from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE