Home Search Countries Albums

Sender

SOVEREIGN Feat. DAVID WONDER

Sender Lyrics

Bado nashangaa
Nikikosea unanisamehe
Baba unanijaza
We ndo mwangaza

Bado nashangaa
Nikikosea unanisamehe
Bado wanijaza
We ndo mwangaza

Oh yeah send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Umejawa na majonzi moyoni
Huku maswali zakuandama kichwani
Wanaokupiga vita wanataka nini?
Kisa wewe kwani umekosa nini?

Wacha wajue kuwa bado unawapenda
Wakiwa na wewe huwezi kuwatenda
Wanaowapiga vita send them back to sender
Nawakishushika baba unawajenga

Send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Vision ya kesho imekam leo
Ukiwa naye hakuna vilio
Kutoka chini napandishwa cheo
Napiga sherehe hapa bila vilio

Oh Father wanna be part of you
Through songs wazidi kukupata tu
Ingilia tu everything we do
This is a prayer for sons to you 

Oh yeah send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Am the son of a father
Who's name above all names
Am born again sin forgiven got a new name
Kweli baba ni mbali umenitoa
Nyasae --

Keep preaching keep teaching
God huwaga faithful no cheating
Si siri hii ni meeting
Insisting with Jesus sio winning

Oh yeah send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Yeah, oya oya oya oya
Send them back to sender
Oya oya oya oya 
Send them back to sender
Hakuna silaha italeta jeraha
Kwako kuna raha kwako Yesu raha

Oh yeah send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Oh yeah send them back to send
Sender, sender, send them back to
Oh wambie Mungu anipenda, penda
Penda Mungu ananipenda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Sender (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SOVEREIGN

Kenya

Sovereign is a gospel group of  four artist from Eldoret, Kenya, Sovereign artist include; ...

YOU MAY ALSO LIKE