Home Search Countries Albums

Game Bubu

GUNNIZZ Feat. BREEDER LW, VUVA

Game Bubu Lyrics


Ati 1, toto ni kapeng amekam
2 niko kutu sikia tu vifyam
3 ring di alarm
Game bubu tunacheza pita pam

Bubu, "sshh" cheza game bubu "Awuuuiii"
Bubu, "sshh" cheza game bubu "Ayayaya"
Bubu, cheza game bubu "Awuuuii"
Bubu, tunacheza game bubu (Ring di alarm)

Ati game jo ni bubu
Tunapiga jo visporty nikichomesha kinduku
Nadunga hadi masporty
Si nacheki nina looku

Napigia hadi Wasafi na mistari za kizungu
Kunapiga bars manze kwanza Breeder jo ni ndugu
Najaa gas manze kama feel ndani ya tuku
Naspeed bars na manigga cheki kwanza looku

Kuna ngeus ako on nyonya bado jo kwa dudu
Relax piga moshi mbili jo si mbulu
Si ni worse bila diss cheki sinanga machungu
Mtapiga jo kelele mkidai jo ni juju

Na Vuva jo wabebe wakiskia game ni bubu
Cheki ati sare za dogilo ntaipanda kiunugu
Miguu weka juu nitaipiga kiutundu
Na ka dem ni hoe siwezi mkula hadi na njugu

Bubu, "sshh" cheza game bubu "Awuuuiii"
Bubu, "sshh" cheza game bubu "Ayayaya"
Bubu, cheza game bubu "Awuuuii"
Bubu, tunacheza game bubu (Ring di alarm)

Game ni bubu ukiweza nyonga nduru
Bazenga jina biggy nalipaga hadi ushuru
Man a big man bazuu na katululu
Tenje haina menje lakini haikosi bluetooth

Kutu mavida ziuchezangwa kwa mbulu
Za kina Mia Khalifa na wale new school
Kabla ya mechi kwanza nitakuvua njumu
Nyap matisha Breeder mi ni guru

So basi whine baby whi-whine
Ukirombosa unanichocha kila design
Na warazi tunawatoka hatunaga time
Mafala warudi ocha si waresign

Naweza fika bei ju naweza
Maziwa iko kwa sasa zero pressure
Mi hushindaga lab kama professor na dextar
Uliza hata Hitler atakushow nani fathela

Bubu, "sshh" cheza game bubu "Awuuuiii"
Bubu, "sshh" cheza game bubu "Ayayaya"
Bubu, cheza game bubu "Awuuuii"
Bubu, tunacheza game bubu (Ring di alarm)

Ati first marinate tena ni ka serene
Na doba za wagenge hapo ndio tutarelate
Whine your waist mi napenda hio morale
Tik tik tok, mdogo mdogo ukirombosa

Ju ka ni kali ni kali mistari kali ni kali
Nishakakemba kana marasa yaani kunyi
Nishakapenda ye ndo mbogibenda
Yaani digidigi digi denda

Niko sure leo nishapata katender
Na kadem pia sure sio wa mapako za sure
Dem sugar masuga na mashasha kanavuta
All white, snow white kanafanya jo nahema

Ata ka niko ketepa dogo dogo kukasesa
Aiyaa dogo dogo kukasesa
Aiii kameshika ogo dogo kukasesa
Aiyaa dogo dogo kukasesa

Bubu, "sshh" cheza game bubu "Awuuuiii"
Bubu, "sshh" cheza game bubu "Ayayaya"
Bubu, cheza game bubu "Awuuuii"
Bubu, tunacheza game bubu (Ring di alarm)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Game Bubu (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GUNNIZZ

Kenya

GUNNIZZ Entertainment is a group of artist from Kenya. They made their debut with "Game Bubu&qu ...

YOU MAY ALSO LIKE