Home Search Countries Albums

Say my name

SHUGABOY

Say my name Lyrics


Say my name bby (Shuga boy)
Sura kipande cha dollar, again(Shugaboy)
Rude boy wa mjini(Shugaboy)
Sura kipande cha dollar(Shugaboy)

First date nilitoka Size 8
Japo kitambo nilizimia Kyallo Betty
Akanambia "we mdogo already sija..."
Ila nikaogopa compe nisimjue Lilian Muli
Mi sina mali, mi sina gari
Ila naamini naweza toka na Zari
Nina ngeli tena mistari
Ndo maana kwa Ngina Kenyatta sioni hatari

Shugaboy call me Shugaboy
Making good use of my blessed toy
Kina Mwende Oriaso ama Wangui
Pita nao wote wanabaki hoi hoi
Achana na Huddah ananijua hadi Sepetu
Ni watundu kibao wanataka kujua kwetu
Kwenye game waniitaga Rambo
Ndio maana nazivua zaidi ya Millie Odhiambo

Say my name bby (Shuga boy)
Sura kipande cha dollar, again(Shugaboy)
Rude boy wa mjini(Shugaboy)
Sura kipande cha dollar(Shugaboy)

Late night chats na Kanze Dena
Avril anadai anataka tena
Kush ana siri anapigaga ndulu
Napendwa kujistiri kama kipenzi Lulu
Request kibao kutoka kwa Akothee
Nazizi yupo juu vizawadi haniletei
Napenda na wazungu kina Julie Gichuru
Navimba mfuko nikibeep Waiguru

Shugaboy me nipo juu,
Pozi zangu zazingua mpaka Wahu
Stumii kizizi mkasema nawazuga
Kwanza pause....
Nipo busy na Mwanaisha Chidzuga

Say my name bby (Shuga boy)
Sura kipande cha dollar, again(Shugaboy)
Rude boy wa mjini(Shugaboy)
Sura kipande cha dollar(Shugaboy)

Say my name bby
King Mswati kwangu, hafiki game
(Halo halo) Omera nan'go 
Ukiskia shugaboy feature jalan'go
Nina hela nasifiwa kitambi
(Shugaboy uko fitiii...)
Mpelekeni rambi rambi nishamfukia Shiti
Bruh, you gotta go!

Say my name bby (Shuga boy)
Sura kipande cha dollar, again(Shugaboy)
Rude boy wa mjini(Shugaboy)
Sura kipande cha dollar(Shugaboy)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Say My Name (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SHUGABOY

Kenya

Shugaboy is a Kenyan actor, singer and Radio Maisha presenter : Facebook :Majimoto the shugaboy ...

YOU MAY ALSO LIKE