Milele Lyrics

Katika safari iliyo na machungu
Tulizo langu ni Wewe tu
Rafiki wa dhati, asiyebadilika
Mwaminifu kuliko ndugu
Katika safari iliyo na machungu
Tulizo langu ni Wewe tu
Rafiki wa dhati, asiyebadilika
Mwaminifu kuliko ndugu
Milele nitakufuata
Sitahofu kwa maana u nami
Gongo lako na fimbo yako zanituliza
Nitakaa nawe milele
Macho yangu yanapojawa na machozi
Amani yangu ni Wewe tu
Aliye na penzi lililokamilifu
Naloweza kutumaini
Macho yangu yanapojawa na machozi
Amani yangu ni Wewe tu
Aliye na penzi lililokamilifu
Naloweza kutumaini
Natamani mbinguni
Pasipo machozi
Furaha yako ikiniliwaza
Kifuani pako nijilaze unitulize
Natamani mbinguni
Pasipo machozi
Furaha yako ikiniliwaza
Kifuani pako nijilaze unitulize
Milele nitakufuata
Sitahofu kwa maana u nami
Gongo lako na fimbo yako zanituliza
Nitakaa nawe milele
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Milele (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE