Home Search Countries Albums

Danger Lyrics


Kingpheezle on the beat

Dangerous kama AlQaeda
Dangerous kama AlQaeda
Dangerous kama AlQaeda
Danger danger dangerous

Skrrapakubum, AlQaeda
Skrrapakubum, AlQaeda
Skrrapakubum, AlQaeda
Skrrapakubum, AlQaeda

Mi ni danger kuliko Akuku Danger
Tukipatana utajua mi sio stranger
Labda upige brakes ama ubadilishe changer
Nakutoa trrr kama boxer kwenye Ranger

Crew ni ya ma AlQaeda si ndio kunyamba kwa hii mtaa
Thug life si hujitepa shada na mchaa
Gangster circle sura imejazwa na mascar
Underwater kabaridi kuwapona vifaa

Setini digida kama huna nakuvua saa
Step kubwa ukikimbia aka mfara
Alhamdullilahi aliweka lawama 
Lakini Inshallah

Mbogi imecheck tuko lit tuko riang hatuko same
Cheki lane namba nane si Kile
Keti nje ufiki bei mi narusha rithe
Nawamix ka Dj Shanty Flames anyday

Dangerous ki AlQaeda vitu ngumu zinaseem kawaida
Chapo ndondo naikulia ndani ya 5 star
Ka ni mastingo nimejaza shinda Kaiga


----
---

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Danger (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SHANTY FLAMES

Kenya

Shanty Flames is an artist from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE