Ndovu Lyrics
Whatsup' y'all it's your girl @I_am_Shakilla
And you are hanging out with the baddest empire
Bwana mkuja better listen
This thing is better than your pants
If it ain't hard come --- for dinner
Am the baddest elephant out here (Ndovu)
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
Huyu dem si ni ng'ombe ju nadai hizo titi
Mi ni kandama vile tu nazinyonya
One for the money, two for the gang
Chapa hio turi for the crowd no shame
Pozze ni kiwete ju anadai ni kandovu
Dem ni mnyama ako jaba na kandovu
Sina toothpick nimebeba tu kikingi
Mama mama, nyama nyama
Nakata maji utadhani mi ni Moses
Dem akiwa maji mi naturn Gidi Gidi
Na vile nawachota ata kama nimesota
Chora saba baby girl iokote
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
Michelle na Shakila ni mangeus tu mandovu
Mi sijailift mi hucheza tu na kandovu
Sunday kwa kanisa ni jeshi la wokovu
Utaniget heaven coz mi ni mwokovu
Vile mi hujidai mi hukuwa nimejikopa
Nipeleke na rieng hizo ndovu zikijipa
Ndovu zimejipa zinawika kama tembo
Zama na kirubber piga short and sweet
Badmanting we are badass gang
We and Shakilla we are badass team
Badmanting we are badass gang
We and Shakilla we are badass team
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
Ndovu (Eeeh) Ndovu (Aaah)
Mi hupenda ndovu jo nikiwa tu matembo
Skinny (Me) Skinny (Zii)
Mi spendi skinny mi hupenda tu matembo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ndovu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SHAKILLA
Kenya
Shakilla aka Rasta Baby or Ndovu is an artist/vixen/ Socialite/ brand promoter and ambass ...
YOU MAY ALSO LIKE