Home Search Countries Albums

Umetii

WAKADINALI

Umetii Lyrics


Njumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit

Njumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit
Njumu ni mtush umetii?

Dah dah dah dah dah 
Itabidi wametii
Dah dah dah dah dah 
Itabidi ni lazima watatii

You dont wanna expecting to be fair
Coz we be getting doh by any means
I know niggas that pretend damn
Don't allow me but they envy me

So wanataka nishikwe with the feds
Mimi am tryna hustle make a better me
So Lord protect me from my friends
Damn coz I can handle all my enemies

I can fck em 9/11 damn
Ka ni kukuja wakuje nigga let em in
Ni kuzoza zoza till I die
Wera wera wera wera wera mi sinaga time

Mbogi ni blood na imetii
So economy bado burden no free shows
Makolo mabad na mapill now the call me the plug
Coz I got the key locks

Siwezi panic niko composed
Huwezi manage nikicome faster
I know I had a juice and a damn saucer
When certain friends they came closer

You know all my niggas independent
Wako fresh wako fine  wako yes wako down
Waswahili husemanga haina kwere

jumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit

Njumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit
Njumu ni mtush umetii?

Dah dah dah dah dah 
Itabidi wametii
Dah dah dah dah dah 
Itabidi ni lazima watatii

Let us pretend that niko chini ya maji
But how did I do it, I took a deep breath
As a public enemy mi huwa sihitaji press
Nina mob ile squad, yaani mbogi iko checked
So badala ya kushuta nakunia mi sitajistress

Usijione uko juu ju uko busy
Na hustle usiku chini hii ujinga tumechizi
Na malipo ni duniani ati usipotubu now
Walio na sin mtajiju 
Huku kijijini dunia bado ni msitu

Mambichwa ndio kolo hapa cham ni ndogogio
Rizla -- sina zogo na ozone
We rise as one brother we are here for now
Ni kuzoza zoza hapa as if there is no tomorrow

What else I think ni kukuza kipaji on my mind
Sleepless nights still kusaka rhymes
Mara kwa mara ni madawa hadi za kupitisha masaba
Tunaona kwa sasa ni kama mtanipatia time
Responsibilities ndo hizo mdagi mdagi zinakam
Eish, mdagi mdagi zinakam

Njumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit

Njumu ni mtush umetii
Vela ni marungu umetii
Jaba ni mamende umetii
Riz ni synthetic ofcourse ni organic

Mtoto slayqueen umetii?
Mtoto ameoga umetii?
Huddah Monroe amewaka on fleek
Mbogi inazoza maboys wako lit
Njumu ni mtush umetii?

Dah dah dah dah dah 
Itabidi wametii
Dah dah dah dah dah 
Itabidi ni lazima watatii

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ndani ya Cockpit 2 (Album)


Copyright : (c) 2021 Rong Rende/Zoza Nation


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKADINALI

Kenya

Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...

YOU MAY ALSO LIKE