Home Search Countries Albums

Ahiko

SERRO

Ahiko Lyrics

Kina dada hoyee
Harusi tunayo hatuna
Aache, aache hoya
Mtoto wetu anaolewa leo
Na mi naona tumuimbie huyu dada
Tumuimbie basi eeh

Kwa kweli leo ni siku yako
Umejipodoa umependeza
Wajomba na wazazi wako
Washapokea ile posa

Basi na wewe jitokeze
Jioneshe kwa wenzako
Na utembee polepole
Mwisho we atazoea

Enda naye polepole
Mwisho we atazoea
Enda naye polepole
Mwisho we atazoea

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojitembeza
Kweli anapendeza 

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojishaua
Mwishowe utamzoea

Ahiko, Ahiko
---
----

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojitembeza
Kweli amependeza 

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojishaua
Mwishowe utamzoea

Maana ng'ala ng'ala thio
Anang'ala ng'ala 
Maana ng'ala ng'ala thio
Anang'ala ng'ala 

---
----

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kuwe (Album)


Copyright : (c) 2020 Kasha Entertainment.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SERRO

Kenya

Serro real name Serro Hulda is an artist, songwriter, performer based in Nairobi, Kenya. S ...

YOU MAY ALSO LIKE