Reggea ya Kinyozi Lyrics
Wooyy hii ni Reggea ya kinyozi
Hapa hakuna kunyolewa na deni
Hapa kazi tu hakuna utiaji
Mwenzako akinyolewa chako tia maji
Wo woi hii ni Reggea ya kinyozi
Inapendwa na wanati na wadosi
Haichagui sura haichagui ngozi
Ikikupata ikupate na mapozi
Look where we began
Kwa kona za hii mtaa
Mbogi yangu ya ghetto
Tulitoka Maringo tuko on the other side
Look who you become, wasee wanoma sana
Wasanii wamesoma, kuna mafootballer
Na kuna mageneral
I remember goodtimes
Living in the Eastside
Why lie, used to be so nice
I hope we can get to do it one more time
And I remember goodtimes
Living in the Eastside
Why lie, used to be so nice
I hope we can get to do it one more time
Wooyy hii ni Reggea ya kinyozi
Hapa hakuna kunyolewa na deni
Hapa kazi tu hakuna utiaji
Mwenzako akinyolewa chako tia maji
Wo woi hii ni Reggea ya kinyozi
Inapendwa na wanati na wadosi
Haichagui sura haichagui ngozi
Ikikupata ikupate na mapozi
Eiiihhh
Hata ka sina maweng
Doba lazima tubeng
Usikubali kuparara
Looku ongeza Sahara
Mbogi yote imejam
Juu gava yetu imelala
Deal zote ni haram
That's why we living on the run
That's why we living on the run
That's why we living on the run yeah
I remember good times
Living on the east side
Why lie
It used be so nice
I hope we can get to do it one more time
And I remember good times
Living on the east side
Why lie
It used be so nice
I hope we can get to do it one more time
Wooyy hii ni Reggea ya kinyozi
Hapa hakuna kunyolewa na deni
Hapa kazi tu hakuna utiaji
Mwenzako akinyolewa chako tia maji
Wo woi hii ni Reggea ya kinyozi
Inapendwa na wanati na wadosi
Haichagui sura haichagui ngozi
Ikikupata ikupate na mapozi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Savage Level (Album)
Copyright : (c) 2022 Exodus Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SAVARA
Kenya
Savara Mudigi is an artist from Kenya( Sauti Sol & Sol Generation ). Savara is&nb ...
YOU MAY ALSO LIKE