Home Search Countries Albums

Cheki Lyrics


Cheki starborn
Mr Seed again, Peter Blessings
Na amekuja na barake tele yoh
(Mavo on the beat)

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Sina more ya kusema
Upendo wake kwangu hakika
Nikiwa low anibeba
Kama ndege anining'iniza

Yesu alisema mambo yako fine
Alimaliza msalabani
Waniona juu napaa angani
Kila wakati yuko nami

Cheki mi siendi club mi siendi bukla
Maishani Mungu ndiye buda
Mi sivuti shash sivuti mashisha
Msalabani yote yalikwisha aaah

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Nasema God amecome thru' 
Eh amekam thru' thru'
Nasema God amecome thru' 
Eh amekam thru' thru'

Amecontroll, amecontroll
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua

I say mimi wake, mwana wake
Alinipenda toka enzi zile
Mimi wake, mwana wake
Alinipenda toka enzi zile

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Amecontroll, amecontroll
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua

Amecontroll, amecontroll
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Cheki cheki, oh nah nah nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Cheki (Single)


Copyright : (c) 2020 Starborn Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MR SEED

Kenya

MR SEED real name Moses Tarus Omondi  is a recording and performing gospel artist fro ...

YOU MAY ALSO LIKE