Home Search Countries Albums

Unaitwa Jehovah

SARAH KIARIE

Unaitwa Jehovah Lyrics


Jehovah Mungu wa matendo
Jina lako ni Jehovah

Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah

Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah

Umefanya maajabu hatuwezi kueleza
Umetenda ya kushangaza ulimwengu
Umetenda miijuza kati yetu
Ndio maana unaitwa Jehovah

Jehovah aah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah 

Jehovah hucheliwi wala hukawii
Mkono wako sio mfupi wa kutokutenda
Maana ulivyoahidi kweli umetenda aah
Ndio maana unatwa Jehovah

Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah 

Wote wanakuita ndio maana unaitwa Jehovah
Sisi tunakuita Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Tenda maajabu Ulisema utatenda tenda miujiza na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah

Ndio maana unaitwa Jehovah
Ndio maana unaitwa Jehovah
Ulisema utatenda na umetenda
Ndio maana unaitwa Jehovah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Unaitwa Jehovah (Single)


Copyright : ©2018


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

SARAH KIARIE

Kenya

Sarah Kiarie is a gospel artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE