Home Search Countries Albums

Odinare

ETHIC

Odinare Lyrics


Yeah ah ati twende 1 eeh sa ntadu?
Sa atajidai ye fyatu
Ah twende 2 ah mi ndio buda
We bado broman mi --
Ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
Ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Unacheki mwewe ya kuku ya kupita
Kama tu ni nduthi napata nasetoka
Leta propaganda tag underpopa
Twende tu mabombo, pombo ni mapopo
Pombo ni mapopo mapopo ni makombo
Msupa anadai rombos na anatwerk kombo
Mi huchoma local koro local
Msupa anadai rombos na anatwerk kombo

Eeh daddy unaleteanga Wanga mwanga
Daddy unaleteanga uncle akala
Alafu unaleteanga brathe changaa
Daddy unaleteanga Wanga mwanga

Sijajua tangu imekuwa vako
Sijajua tangu amekuwa wako
Napitanana naskia hayuko
Napitanana naskia hauko

Ati twende 1 eeh sa ntadu?
Sa atajidai ye fyatu
Ah twende 2 ah mi ndio buda
We bado broman mi --
Ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
Ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Tako boxer naeza tumia kuspa
Nina pencil leta hio sharpener
Na mazing zabe zinalipuka
Kila salon bado mi nasuka

Si nipasafishe ngoto
Na nipazalishe toto 
Na nisababishe mboto
Na nipalainishe na jo

Odinare eeh odinare
Ye atakuteka atakusesa 
Kusesa atakutema
Odinare eeh odinare
Ye atakuteka atakusesa 
Kusesa atakutema

Ati twende 1 eeh sa ntadu?
Sa atajidai ye fyatu
Ah twende 2 ah mi ndio buda
We bado broman mi --
Ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
Ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Odinare eeh odinare
Ye atakuteka atakusesa 
Kusesa atakutema
Odinare eeh odinare
Ye atakuteka atakusesa 
Kusesa atakutema

Ati twende 1 eeh sa ntadu?
Sa atajidai ye fyatu
Ah twende 2 ah mi ndio buda
We bado broman mi --
Ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
Ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Twende 1 eeh sa ntadu?
Sa atajidai ye fyatu
Ah twende 2 ah mi ndio buda
We bado broman mi --
Ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
Ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Big Man Bado Odinare (Single)


Copyright : (c) 2020 Ethic Entertainment


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ETHIC

Kenya

Ethic , ' Ethic Entertainment' is  a music Group from Kenya formed in 2018. Ethic Enter ...

YOU MAY ALSO LIKE