Home Search Countries Albums

Pekejeng

SAILORS

Read en Translation

Pekejeng Lyrics


Uuuu...uuuu
Yeah, yeah man
Sailors Gang

Hii si ya uzembe na lazima iwaweze
Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze 
Shika zigo kwa mabra na ukaze aah
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana abaki zile za 
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza kiuno ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza steki ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza zigo ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza diaba ni pekejeng
(Pekejeng)

Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Aaaah..... Pekejeng

Wanabebwa na Uber kando ma scooter
Ile vako ya makaa ju me ndio gas cooker
Kauka spell, ukiitisha napaka mafuta
Kakijipa nikachapanishe na ukuta

Nikachape hadi kachachishe kawe mbuta
Ulegeze zigo nibanju, mandom me huvuta
Kuingia kwangu itabidi umeipumuta
Makejani weekendi lazima utoe form
Na mambleina wakilandi sisi tuwabomb bomb
(Tuwa bomb-bomb)

Hii si ya uzembe na lazima iwaweze
Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze
Shika zigo kwa mabra na ukaze aah
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana abaki zile za 
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza kiuno ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza steki ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza zigo ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza diaba ni pekejeng
(Pekejeng)

Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Aaaah..... Pekejeng

Form yeah, Sailors on the beat
1, 2 leta zogo nikuwekee ka beef 
Tuliturn up Bon’Eye mono eye ikapaste 
Sasa tumerudi tumekam na the beast

Hitmakers lunatics now on the mic
Sailors DNA we gonna make it, wanna lit
Dancing to the beat, Do you skipping on the feet?
Whinning like a fake, Do you twerking on the feet? 

Nimepata Kwamboka, hunny she a threat
Like the way you legeza, is it tilla wet?
Like chapati geuka wanna make you sweat
Wanna make you leg-over when I pull it out
Sasa tumechachisha sema pekejeng(pekejeng) 

Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)

Hii si ya uzembe na lazima iwaweze
Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze
Shika zigo kwa mabra na ukaze aah
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana hmmm
Ili mwenye hana abaki zile za 
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai
Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza kiuno ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza chii 
Legeza mama
Legeza steki ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza zigo ni pekejeng
(Pekejeng)

Legeza hii 
Legeza mama
Legeza diaba ni pekejeng
(Pekejeng)

Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Aaaah..... Pekejeng

Hii nayo kali ni kama imeongezewa makali
Imepigwa tiki hadi na kina Jua Cali
Twapiga wera hata kama jua ni kaliii
Ili after janta ni kubaki na ma mali

Nashika jaba inanifanya ni sign form
Nadungia Alexi ananishow ako na mandom
Qoqo Juma naye analia ana madem
Kina Njoki, Mwende na kina Shamim

Tukimeet nakuwanga serious party na
Cheki yule dem vile anahioria matina
Ananichanganya hadi nasahau majina
Madiaba huku mingi nakwambia usicheze bruh

Order, order kila mtu na wake
Na ikiwezekana mpee, ama umpee mate
Shika diaba to your best na umshow akate
Ju ya mwisho ni chorus 
Na ina shika-mzika design ya makete
Ate, design ya makete kete

Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng)
Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng)

Sailors Gang!
Team ya mariet
Niatia reu, kwena kii?
Kira-i ta mwe mono eye..?

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Pekejeng (Single)


Copyright : (c) 2019 MRX Media Limited.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SAILORS

Kenya

The Wamlambez hitmakers Sailors Gang (Miracle Baby, Shalkido, Masilver, Lexxy Young, Qoqosjuma)&n ...

YOU MAY ALSO LIKE