Alivyonipenda Lyrics
Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii,
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
inahitaji zaidi
Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu…
Type yangu, ni yule anaenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo
Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume
Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuambia
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless
Nikimuona nasinzia ka nameless
Uko? Ntakuja kalesa
Love ilikuwa genuine than leather
Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo
Wakati stima kwangu was candle
Wakati birthday yake haikuwa na keki
Wakati nikisota alinipiga jeki
Nikachanganyikiwa na rangi ya thao
Yangu ikafunguka club ndio makao
Leo Macha kesho coast tunakacha hata
Tulizi document snapchat
Niko empty nammiss kishenzi
Alinipa ya kweli mapenzi
Lonely mamiss alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Otile Brown Singles (Album)
Copyright : (c)2016 Dreamland music entertainment
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE