Kiapo Lyrics
Higher higher high(Mpenzi)
Higher higher high(Nakupenda)
Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Kukupenda we si taabu
Ila bado tuna majaribu
Neno lako kuwa unanipenda
Je litasimama? Halita tikisika
Kwako nina msimamo
Sitasikiliza maneno
Sitabadili mtazamo
Kuwa nakupenda we kwa moyo
Nipende nikupende
Tushikamane majaribu tuyashinde
Tufike kule mbele
Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nipende nikupende
Tushikamane majaribu tuyashinde
Tufike kule mbele
Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Higher higher high(Mpenzi)
Higher higher high(Nakupenda)
Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Higher higher high(Kwa moyo wangu)
Sijabahatisha kukutana nawe
Nina uhakika kuwa ni wewe
Ninajua maneno ni sumu
Ila hata nikisikia hayatanidhuru
Wewe kwangu si barafu wa moyo
Maana muda wowote utayeyuka
Wewe kwangu ndiwe wangu moyo
Ninakupenda wewe kwa moyo
Nipende nikupende
Tushikamane majaribu tuyashinde
Tufike kule mbele
Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nipende nikupende
Tushikamane majaribu tuyashinde
Tufike kule mbele
Kwenye kilele cha furaha yangu nawe
Nakupenda(Nakupenda)
Wewe mpenzi wangu(Nakupenda)
Hey kwa moyo wangu(Nakupenda)
Hey kwa moyo wangu(Nakupenda)
Hey kwa moyo wangu(Nitakupenda)
Kwa moyo wangu(Nitakupenda)
Kwa moyo wangu oooh ooh
Wote kwa moyo wangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kiapo (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE