Home Search Countries Albums

Na Enjoy

RUBY Feat. DARASSA

Na Enjoy Lyrics


Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli baba
Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli yeah

Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die

Oooh nibebe mawzoni
Unifae mapenzini
Tupae wote angani
Tuwe kama nyota na mwezi

Mahaba kama pombe la kibaniani
Nakupa vyote koma vya kwenye sahani
Dinner twende China ama Taiwani
Umenishika shingoni kama tai yaani
Mwenzako choka mbali we u hali gani
Usijebadilika kuwa hayawani
You got me falling in love

Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli baba
Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli yeah

Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die

Usiwe na pupa baba
Kula nyama yote nibaki mifupa
Utakacho nitakupa
Ila chunga sana sana nisije juta

Hisia zipeleke Tanga
Nikoroge kwa huba
Kiuno mi nidondoshe shanga
Hakuna kukesha kuganga
Utam tam kamanda kavua na gwanda

[Darassa]
Now take it to the top top
Pita katikati mpaka kwenye nyayo za miguu
She say baby stop stop
Vitu navyofanya si I got mad over you

Nampigia simu five times in a day
Mchana namtext naenda na lunch takeaway
Ukitaka kitu sema mama usiogope bei
Love imechanga take it, take it I'm gonna pay

And don't worry about anything
Tryna do the right thing for you you feel me
Watakuambia nitakuacha chini
Amini usiamini one day you --

Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli baba
Na enjoy kwa penzi lako niko hoi
Sichomoi, forward wangu tia magoli yeah

Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die
Love making, love till I die

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Na Enjoy (Single)


Copyright : (c) 2020 Africori


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RUBY

Tanzania

Ruby real name Hellen Majeshi is a Tanzanian Musician and a beauty queen. She is popularly known for ...

YOU MAY ALSO LIKE