Ghost Freestyle volume.1 Lyrics
Sina mambo mengi giver natoka fasta
Spendi ugomvi mani kali kama rasta
Vile naipiga unaweza sema master
Mtu yeyote akitokea disaster
Wanabisha mama waonyeshe
Beat imekwisha Swabri wakomeshe
Nipe beat mi nipite kama Ghost
Fake wanadiss but bitch wanapost
Wanataka battle na Rose inawacosti
Kwenye flow hawa ni wezi vichwa boxi
Nawaokoa hawa mapisi kali
Wanazogoa nawachomoa kwa mistari
Ng'oa ng'oa wale wanaoboa habari
Wanadhani naigiza hawajui mi hatari
Game ina watoto na mimi ndio mama yao
Mi nisikate kaizi kibakuli nyama yao
Wanapatwa na wivu coz mi sio kama wao
Wanaogopa umeme kwa maana si waungao
Nawarukisha madebe masela zao nawashukisha manyege
Mitaa ikiniona inasimama dede
Wananipenda wananiita queen wa walibwende
Wanauliza niko wapi waambie niko hapa
Tena nishadata nishakata nyingi bapa
Kote na kwa lami siku hizi chaka kwa chaka
Kitu nataka ni doh uliza washikaji wanaotaka
Huwezi fosi hizi flow mama utakunya
Popote ukipanda we unataka kuvuna
Nyama ngumu wagumu tunatafuna
Biashara isiyo na mtaji peke yake ni kuuza kuu
We Rozzy kuuza nini? Kuuza kuku bwana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ghost Freestyle volume.1 (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ROSE NDAUKA
Tanzania
Rose Ndauka real name Rose Donatus Ndauka (7 October 1989) is a rapper, actress, entrepreneur and a ...
YOU MAY ALSO LIKE