Hakuna Ajuaye Lyrics
Hakuna ajuaye, Siku wala saa
Ile ajayo, Bwana wa majeshi
Hakuna ajuaye, Siku wala saa
Ile ajayo, Bwana wa majeshi
Jiandae eeh Baba, Jitayarishee mama
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Jiandae eeh kaka, Jitayarishee dada
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Tazama Bwana aja kama vile mwivi
Aiii mama, na ujira wake mkononi
Kumlipa kila mtu
Tazama Bwana aja kama vile mwivi
Aiii baba, na ujira wake mkononi
Kumlipa kila mtu
Na walio waovu,watatupwa jehanamu
Na wenye haki watamlaki
Jiandae eeh Baba, Jitayarishee mama
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Jiandae eeh kaka, Jitayarishee dada
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Hakuna ajuaye, Siku wala saa
Ile ajayo, Bwana wa majeshi
Hakuna ajuaye, Siku wala saa
Ile ajayo, Bwana wa majeshi
Jiandae eeh Baba, Jitayarishee mama
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Jiandae eeh kaka, Jitayarishee dada
Maana haujui, siku ajayo Bwana
Watakatifu wote, watakwenda naye Bwana
Nao waovu, watatupwa jehanamu
Watakatifu wote, watakwenda naye Bwana
Nao waovu, watatupwa jehanamu
Watakatifu wote, watakwenda naye Bwana
Nao waovu, watatupwa jehanamu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Hakuna Ajuaye (Single)
Added By : Penuel Gospel Singers
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE