Home Search Countries Albums
Read en Translation

Masekete Lyrics


Baba nimekuja kwako
Nagonga mlango unifungulie 
Baba nimekuja kwako
Nagonga mlango unifungulie 

Bwana Yesu nimekuja kwako
Nagonga mlango unifungulie 
Bwana Yesu nimekuja kwako
Nagonga mlango unifungulie 

Masekete, ayee masekete
Wachawi wachawi masekete, ayee masekete
Masekete, ayee masekete
Masekete, ayee masekete

Yana miiba kwenye mikongo, ayee masekete
Naogopa kuvunja shingo, ayee masekete
Bwana Yesu njoo njoo, ayee masekete
Madanga madanga masekete, ayee masekete

Fukuza shetani, haiya haiya haiya
Nasema fukuza, haiya haiya haiya
Fukuza wachawi, haiya haiya haiya
Wakija na -- , haiya haiya haiya
Wakibeba marungu, haiya haiya haiya
Kwa jina la Yesu, haiya haiya haiya
Wakija na mavisu, haiya haiya haiya
Nasema mwizi, haiya haiya haiya

Nimekuja kwako nimechoka sana nibebe
Maneno ni mengi yanaleta joto,nibebe
Kwenye mbawa zako nitulie, Yesu nibebe
Nina mwana joto joto nibebe eeh

Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe

Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe
Yesu nibebe, Yesu nibebe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Miamba Imepasuka (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ROSE MUHANDO

Tanzania

Rose Muhando is an award winning Gospel Singer from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE