Hatuna Ratiba Lyrics

Hatuna ratiba, toa ratiba
Hatuna ratiba, toa ratiba
Talk tutoe lock baba sa skia
Ratiba yangu inaanzia napo amkia
Naona toto ashanzia afu pisi ni kibao
Ukidrop tu location wanakutimbia
Wapi kuko lit check rada
I pull up with my gang gang
Napita kwa plan kula shada
Party at your own risk brother
Utamaliza hela hauwezi maliza baa mada
Boss hapingwi hapa mi moshi ni mingi
Tumeshaforce force no time ya kuboo kidingi
Na bila mtonyo hauvimbi, we jifungie ikibidi
Tu pisi utazila kwa macho, ukiwa broke haudindi
So wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Utembezi au Masaki (Toa Ratiba)
Leo wapi? (Hatuna ratiba)
Hamko serious (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Tunatoka saa ngapi? (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Tunatoka saa ngapi? (Toa Ratiba)
Nablow joint na blunt kabla ya kula
Na shot pale grant kuzima light mamedulla
Michongo inaenda ruler, swag ni camp mula
Lui V cap, Lui V kaptula
Sina ratiba kwani ratiba inasema inasema nini?
Biz boost nafanya matus na mapini
Nahizi kush akilini nikiswitch hawazimi
Wazushi kuwawini inabidi nipush lamboghini
Wahuni tunafanya watoto wanaruka fence
Waambie walinzi wenu hawawezi kunidefence
Niko tila lila VIP Kempinsky
So nashangaa mpaka leo bado nashare vi G bag
So wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Utembezi au Masaki (Toa Ratiba)
Leo wapi? (Hatuna ratiba)
Hamko serious (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Tunatoka saa ngapi? (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
(Toa Ratiba)
Leo Bongo kesho kwa ma diva
Leta mchongo tukuonyeshe mshale mpaka mida
Habari mko wapi mara mnatoka saa ngapi
Maswali ka afisa NIDA
Si unacheki, manigga wamepoa kama wanajeshi
Ashajiseti wana wanashambulia na wanakaba
Full beki, haina uchambi full washikani
Popote kambi bro, ngoma ikianza chombo haisandi
Mpaka majogoo, oh no ratiba za kifoo
Anzia Mbezi kazi ya Sinza sima Kariakor
Chaka to Chaka na chombo bado haijawaka
Ndo kuanza tungi la starter baby itisha kamata
Kwa ratiba tunatimba tu faster
So wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Utembezi au Masaki (Toa Ratiba)
Leo wapi? (Hatuna ratiba)
Hamko serious (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Tunatoka saa ngapi? (Toa Ratiba)
Oya wanangu leo wapi? (Hatuna ratiba)
Tunatoka saa ngapi? (Toa Ratiba)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Hatuna Ratiba (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR T TOUCH
Tanzania
Mr T Touch is an artist, music producer, C.E.O of Touchez Sounds and D.C.T Record label in ...
YOU MAY ALSO LIKE