Home Search Countries Albums

Zungusha

RJ THE DJ Feat. NINO TZ

Zungusha Lyrics


(It's S2kizzy beiby)
Rj the Dj all day baby
This goes to all the beautiful ladies out there
Ah wote

Leo natuma nafsi na moyo
Vikupende wewe tu
Ya jicho ilo baki we mboni yangu
Baki na mimi tu 

Aibu, kitandani sarakasi kungfu
Na zenye burger we ugali fufu
Nalisha gadi imefufuka fufu
Ah baby yaani umening'aza kuku

Kama safari naenda nafika
Vile laini juu nakwea napita
Hallo, Kanumba Jeniffer
Tuwe wote na unizike nikifa

Baby vile mi unanipa
-- nimekunywa nipa
Love baby I need you yeah

Zungusha zungusha
Zungusha millioni
Zungusha zungusha
Zungusha millioni

Zungusha zungusha
Zungusha millioni
Zungusha zungusha
Zungusha millioni

Hapa kipapatio paja kidali sikupi ng'o
We na watu ila kula hukuli ng'o
My unavyonitania kichwa kinawaka
Moyo unacheza kwaito ya Yvonne Chakachaka
Natamani nikubebe twende chaka chaka
Kimoko mbili chwa mi nikam fasta fasta

Kama safari naenda nafika
Vile laini juu nakwea napita
Hallo, Kanumba Jeniffer
Tuwe wote na unizike nikifa

Baby vile mi unanipa
-- nimekunywa nipa
Love baby I need you yeah

Zungusha zungusha
Zungusha millioni
Zungusha zungusha
Zungusha millioni

Zungusha zungusha
Zungusha millioni
Zungusha zungusha
Zungusha millioni

Mi mgonjwa we ndo dakitari darling
Nilaze hali yangu sio shwari
Mi mpofu kwako sina hali
Nife na wewe nishakubali 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Zungusha (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RJ THE DJ

Tanzania

Romy Jones aka Rj The Dj  is an artist, WCB vice president, Diamond Platnumz official Dj/ Wasaf ...

YOU MAY ALSO LIKE