Home Search Countries Albums

Wataitana

RIX RORO Feat. KIJIKO, DEDE TARSHIAN

Wataitana Lyrics


Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Ka ni kuru usibonge 
Ka ni chura usibonge
Toka tenje walenje
Fika stenje uko ndethe
Uko dudu uko dede 
Na mchuma ni ya malele

Mi napenda tu wawili wakitingiza madiaba
Zimenyanya zimebunde, hizo nyanda nitazipanda
Mwiko ishasimama mi napenda tu wakamba
Vile wana whine wanafanya mi na wonder
Jo kwa kitanda itabidi nimempanda
Ni sisi wawili na mafisi nitawashanda

Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Kibush kisoo jo, kikush kiroll
Ki room ki cold jo, kiboom kisong
Ki kang kiset jo morio tunapimana
Tuko bukla tumedunga tumeseti tumevuta
Niko macho nakukemba, niko maji na ketepa

Huku nyuma umebeba, huku mbele nitakuchotha
Msupa leo nitakuteka, nikidrill utawika
Nikitwist wachachisha, nikiplay si wazamisha
Nduru na mayowe, itabaki waitane(itabaki waitane)
Nduru na mayowe, itabaki waitane(itabaki waitane)
Ah ah Yao Yao

Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Kam close baby hadi nikucheki
Vile umeweza kam nikuseti
Nipe thru pass hadi kwenye mechi
Vile uko waba jo pigwa deki

Napenda ma ssh, jo sipendangi mangale
Washa kishasha nyonya kindukulu
Tingiza madaiba ukuwe unaniona kwa mbulu tu
Vile nitakuzaga itabaki ni manduru tu

Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Kula vako ndeng'a ni lazima nikuteke
Ongeza kingine walie niko matembe
Tingisha vizii ni lazima tuwatese
Vile una whine ni lazima waitane

Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane
Wataitana wa wataitana
Vile una whine ni lazima waitane

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Wataitana (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RIX RORO

Kenya

Dennoh Rix Roro is an artist from Kenya...Ethic's Swat brother. ...

YOU MAY ALSO LIKE