Kimonyoski Lyrics
Mi unaeza niita Kartelo
Ama unaeza niita kwako
Hitilafu Sacco in addi area representing
Hatujakuja kupakwa maronyaru
Eeh tumekuja asapa na Rico Gang
Tumekuja kuchachisha
Tumekuja kuwapeleka na rieng, Kabisa!
Hitilafu sacco in addi area representing
Tumechill kwenye baze tunaseti
Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya
Ati hapa tunadance na tunazitoka
Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka
Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Watu wa Kariobangi ndio wame carry hio bangi
Nipeleke na rieng manjege wasini landi
Hakuna nare, washa shash na radi
Venye me hudinya, traco alidhani hii ni pongi yaa
Kazee, aah kazee
Brayo mpenda manyonyo amechill tu kwa baze
Ah, Konyagi dry ju ka si doh hatu chase
Ghetto ni ya wasupa yoh, so tingisha na hiyo pace
Ukicheki na akina Linda(Oya oya)
Doba za Demakufu(Oya oya)
Sacco ni Hitilafu(Oya oya)
So stretch izo mapaja tu ka (Oya oya)
Hitilafu sacco in addi area representing
Tumechill kwenye baze tunaseti
Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya
Ati hapa tunadance na tunazitoka
Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka
Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Mbogi ni ya Kimonyoski
So original hao wengine wanacopy
Kama huna ngori piga picha na uposti
Na kama huna form si ukam tukuhosti
Aah, hii ni mbogi ya mutaratara
Mbogi ina form hapa hakuna mandrama
Tumechill kwenye baze na akina Sara
Kina Liz, kina Brenda na akina Laura
Oya Kartelo, ameishika Lejo
Sijaitisha already ashatoa leso
Sijamvuraga na ashaanza kunego
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Hitilafu sacco in addi area representing
Tumechill kwenye baze tunaseti
Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya
Ati hapa tunadance na tunazitoka
Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka
Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Mbogi ya kula mutura na kunywa supu
Mamanzi wa fine, wale ni wenye wasupu
Mbogi ya kukula tu mogombero na njugu
Hapa ni malugha na kutoa tu makutu
Niko look sijaparara
Cheza na mutaratara
Juzi alikula Sara
Akamrusha tu kwa Laura
Si akavurugwa tu na mbogi pale raonda
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Hitilafu sacco in addi area representing
Tumechill kwenye baze tunaseti
Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya
Ati hapa tunadance na tunazitoka
Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka
Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Hitilafu sacco in addi area representing
Tumechill kwenye baze tunaseti
Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya
Ati hapa tunadance na tunazitoka
Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka
Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kimonyoski (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE