Home Search Countries Albums

Foto Moto

NOTI FLOW Feat. BENZEMA

Foto Moto Lyrics


Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera

Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to
Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to

Alejandro, Noti
Si unajuwa we ni ndoto
Nikicheki hizi photo zako
Zinanipea mandoto

Mtoto Noti umenichanganya
Naota usiku ukinifanyaga, fanyanga
Yea ukinikanyaga
Utanipenda kama boil ama karanga

Sinyor, Alejandro
You have a visitor, its Noti Flow
Amekam bila ngotha na nyong’inyo
Nimekam bila ngotha na nyong’inyo

Basi sawa tugandane
Tuumizane tufinyane
Niko na first aid kit iko na funnel
Moods zangu ziko KBC Channel

Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to
Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to

Pata verified account
Utapata more likes without a doubt
Watasema uko after fame hiyo si clout
Arimis is your best friend saa ya drought

Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo, nanukia cologne

Noti the Flow umekuja kutaka
Chief Inspector umekuja kuchapa
Karantin karantine
Kondiko zimeisha hadi kwa canteen

Unajuwa Akothee
Niko na picha zake akipigwa ndolee
Tuache aibu za kudinyana kwa choche
Busta Rhymes alipatikana Oyole

Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to
Foto moto, inaleta ndoto moto
Foto motooo, moto to

Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Foto Moto (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NOTI FLOW

Kenya

Natalie Florence aka Noti Flow is a Kenyan rapper. ...

YOU MAY ALSO LIKE