Home Search Countries Albums

Salimisha

RICH MAVOKO

Salimisha Lyrics


Uzi kaacha na mkeka
Kaenda fia ojelegba
Carribean reggea nature
If you are ready 

Kuwa biggy Na social girl 
Mwana mida ya kupemesa
Ndio forever mi wassup girl
I will miss on the this one

Namiss deal
Namiss deal eh eh, ya siku zile 
Namiss deal eh eh, ya siku zile 
Namiss deal

Tunasilimisha, silimisha
Silimisha, silimisha
Tunasilimisha, silimisha
Silimisha, silimisha

Please kama rasta
Pambania ng'ang'ania Fasta 
Baadae tunang'ata
Wana wana Africa definer
Hata akiketi hizo code ni minor

Kitu pechaga (Eh) 
Dera kunasa (Eh)
Kibao kata (Eh)
Kwa Aminata

Kuwa biggy Na social girl 
Mwana mida ya kupemesa
Ndio forever mi wassup girl
I will miss on the this one

Namiss deal
Namiss deal eh eh, ya siku zile 
Namiss deal eh eh, ya siku zile 
Namiss deal

Tunasilimisha, silimisha
Silimisha, silimisha
Tunasilimisha, silimisha
Silimisha, silimisha

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Minitape EP (EP)


Copyright : (c) 2020 Billionaire Kid


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RICH MAVOKO

Tanzania

RICH MAVOKO is  a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE