Home Search Countries Albums

Saliti Freestyle

REKLES

Saliti Freestyle Lyrics


REKLES - SALITI FREESTYLE

Yeah, cheki, ayaah mmmh

Abracadabra mi magician huko India
Na rock Nike juu chini ni Adidas
Na uliza mtaa mi bado ndo mbaya FIFA
Manpower tu kama collabo ya Victor na Mariga

We ujifanya diva baby shika mimba
Baby shika verse utarehearse kwa kwanisa
Na labda pengine pia unaweza kuwa na sister
Mahari tayari ya wawili nishalipa

Usiniulize bana form ni gani
Form si form ka imejipa na haizalishi ganji
We unahate na unaskiza buda we ni mfunny
At the end shida kubwa ni unahitaji bangi

Si ati personal pole
Na ukiumwa umbwa bana meza panadol
Hatulali nani tuko kazi magizani ndo tupunguze bill
We ni nani na unadhani unaweza shinda hii beef?

Aya mzinga nusu jua jo siwezi stagger
Mi ni star so ni ngumu nikose jo kujigamba
Pigwa buti shika adabu kwanza na hizi hizi gumboots
Kwanza looku fresh sitoki mtaa bila perfume

Hook master buda huezi deny
Na ni obvious mi ndo rapper mbaya huku Nai
Hadi Naks na Kisumu -- pia Mombasa
Bro kunywa sumu si tutachanga kwa matanga

Siwezi kutrust buda una roho ya malaya
We ni snitch bloody jinga pewa doh unatupeana
Staki tena form I'm alone nishanawa
Staki tena broz mi naongeza tu madada
Finally mtakam jo ku-relate

Bado si late ni mapema kuanza jo ku-regret
Nipe vest millitary na hizo clip za AK
Ama nakam na pillow niku-choke ka uko kwa bed
Ah Nadai paper, nadai helper
Nadai wife si ni life ju wa kwanza jo alihepa
Mbona kwa DM wakitext na walenga
Siku hizi kazi ni kuhesabu siku za kalenda
Uh ati siku za kalenda

Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem

Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem
Wakihate you step on dem dem

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Saliti Freestyle


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

REKLES

Kenya

REKLES Kraytom is a Hip Hop and dancehall musician from Kenya. A member of Ethic Entertainment. ...

YOU MAY ALSO LIKE