Home Search Countries Albums

Lawama Freestyle

REKLES

Lawama Freestyle Lyrics

Bebe bebe bebe bebe be
Bebe bebe bebe bebe be

After kuchoma nawekea madawa lawama
Na natoroka ata sipatikani nahama
Navuka border mpaka Kigali huko Rwanda
Nawakoroga tu kama ugali na gwara

Ukitaka beef itisha pia delivery ni free
Na na deal na dealersm territory bado ya ma G
Hii ni street ya killers hapa hakunaga bana peace
Sai ni bills nalipa hata kama sikuklipa fees

Obvious mi ndio mzii na we bado only shit kwa matako
Na wanakunywa na sitaki ata meza mi na guggle
Kombi moja mbaya kama dema na ovacado
Bado unakaa na dereva mi ushindaga na ma-pilot

Danger karibu kwangu kuna maajabu juu ya meza
Ka we ni babu cheki jo fuck you mi ni mhenga
Ah si kwa ubaya mi hukulenga, anti-social jo
Kwangu sijuani ata na neighbours

After kuchoma nawekea madawa lawama
Na natoroka ata sipatikani nahama
Navuka border mpaka Kigali huko Rwanda
Nawakoroga tu kama ugali na gwara

Ukitaka beef itisha pia delivery ni free
Na na deal na dealersm territory bado ya ma G
Hii ni street ya killers hapa hakunaga bana peace
Sai ni bills nalipa hata kama sikuklipa fees

Ati baby baby baby baby eh
Yaani daily we ni msexy eh
Ka ni nickname Eminem mi name 
Ka ni bibi Nicky bado bae

Ati dakika tatu ndo nimebakisha
Huku mtaa hatupiti njia moja na ma-officer
Zile bomb natupa zimeshinda za Afghanistan
Hii ni rap nakupa hakuna hapa cha kukatika

Bebe bebe bebe bebe be
Bebe bebe bebe bebe be
Bebe bebe bebe bebe be
Bebe bebe bebe bebe be

After kuchoma nawekea madawa lawama
Na natoroka ata sipatikani nahama
Navuka border mpaka Kigali huko Rwanda
Nawakoroga tu kama ugali na gwara

Ukitaka beef itisha pia delivery ni free
Na na deal na dealersm territory bado ya ma G
Hii ni street ya killers hapa hakunaga bana peace
Sai ni bills nalipa hata kama sikuklipa fees

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Lawama Freestyle (Album)

Copyright : (c) 2020 Ethic Entertainment.

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

REKLES

Kenya

REKLES Kraytom is a Hip Hop and dancehall musician from Kenya. A member of Ethic Entertainment. ...

YOU MAY ALSO LIKE