Accueil Recherche Pays Albums

Nitongoze

RAYVANNY Feat. DIAMOND PLATNUMZ

Nitongoze Lyrics


Weka shida chini glass juu tujipongeze
Usijali wanafki wambea chapa mziki wote tucheze
Enh wanny boy
Chui
Platnumz
(S2kizzy baby)

Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (eeti)
Hiyo shingapi, hii shingapi hauna hela nini (eeti)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (eeti)
Ile shingapi, hii shingapi hauna hela nini

Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)

Eh bwana wee
Hela ya kodi… nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende, chukua mwingine sio kinyonge
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (basi nitongoze)

Nimeachwa staki tena masw
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Eh bwana wee

(S2kizzy baby)
Zombie

Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati ingia kati tuone boxer

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nitongoze (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RAYVANNY

Tanzanie

Raymond Shaban Mwakyusa (né le 22 août 1993), mieux connu sous son nom de scène ...

YOU MAY ALSO LIKE