Kongoro Lyrics

Umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa
Nani kakuharibu mbona ghafla kulizana?
Wanuna bila sababu waniona me mtwana
Ukiwa nami wajifanya bubu kutesana
Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
Heri imo gizani (Nitabaki kongoro)
Sioni sababu (Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (Nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilize (Nitabaki kongoro)
Sioni sababu (Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumize (Nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilize
Eeh, ooh, eeh...
Upendo wa dhati unaning'inia
Afueni sipati ninaishilia
Weka hisabati na kukotoa
Ila jibu sipati nando 'mepotea
Japo nafsi inapinga ngumu yako kaulii
Sikubali kushindwa ndani nyingi dosari
Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi
Fedhuli mimi
Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
Heri imo gizani (Nitabaki kongoro)
Sioni sababu (Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (Nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilize (Nitabaki kongoro)
Sioni sababu (Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumize (Nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilize
Eeh, ooh, eeh...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : The African Princess / Kongoro (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE