Accueil Recherche Pays Albums

Chuchumaa

RAYVANNY

Chuchumaa Lyrics


Chuchumaa kama vile unafua
Mama unapika basi nije kupakua
Chuchumaa kwenye choo cha mabua
Ila chunga mchanga usiingie kitumbua

Chuchumaa! Kisha ulegeze nyonga hiyo
Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo
Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo
Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo 

Ai katoto, motomoto
Moto moto, moto moto
Aii baikoko, moto moto
Joto joto, moto moto

Kamata ukuta
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa

Oweoo weooo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Kimbau mbau, tukunyema
Pilau lau, nipe supu tena
Mashau shau kana sinema
Yaani kanakula ndizi bila kumenya

Basi nipe za Kichina eeh, msamba
Fanya kama Bruce Lee, msamba
Viuno vya kusigina eeh, msamba
Fanya kama Jet Li

Unavyocheza kwenye chaki
Nataka hakataki
Na chumbani
Varangati kwaito

Na pembeni
Katikati
Nakatachi bila wasi
Kamedata na Wasafi tight-ooh

Ai katoto, motomoto
Moto moto, moto moto
Aii baikoko, moto moto
Joto joto, moto moto

Kamata ukuta
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa

Oweoo weooo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!

Tingishika, tingisha

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Chuchumaa (Single)


Copyright : (c) 2019 Wasafi


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RAYVANNY

Tanzanie

Raymond Shaban Mwakyusa (né le 22 août 1993), mieux connu sous son nom de scène ...

YOU MAY ALSO LIKE