Dilemma Lyrics

Hata kutizama usoni
Mwenzenu sitaki tena
Umenipa ndonda ndugu
Ooh nateswa na mazoea haa
Ata kupenda sitamani
Mwenzenu sitaki tena
Masikini moyo wangu ooh
Nimekuonea huh
Nilichotaka kukuonyesha ndo hukutaka
Ukaacha na nguo nishone kiraka
Upofu chunga penzi ndo sijataka
Sijataka mimi
Sehemu ya wembe ukaweka shoka
Ukaniacha dilemma mimi nahangaika
Ujinga beiby ndo sijataka
Sijataka mimi
Mapenzi sitaki tena, tena (Nimechoka)
Si uliniacha dilemma, dilemma (Nimechoka)
Mapenzi sitaki tena, tena (Nimechoka)
Si uliniacha dilemma, dilemma (Nimechoka)
Jamani mapenzi
Yanidhoofisha ka maradhi
Kuendelea siwezi
Yananinyima usingizi
Kuna vingine sisemi ni siri ya moyo wangu
Yamenitoa nje ya reli bila kujali hitima yangu
Kuna vingine sisemi ni siri ya moyo wangu
Yamenitoa nje ya reli bila kujali hitima yangu
Bora ungemuuzia sponsor
Ningejua pesa umekosa
Kuliko kunichoresha
Mapenzi kama nakopa
Bora ungeuzia sponsor
Ningejua kitu umekosa
Kuliko kunikolesha
Niko na njia-
Mapenzi sitaki tena, tena (Nimechoka)
Si uliniacha dilemma, dilemma (Nimechoka)
Mapenzi sitaki tena, tena (Nimechoka)
Si uliniacha dilemma, dilemma (Nimechoka)
Uliniona kama mjinga wako
Chizi wa penzi lako
Sitaki tena, tena, tena
Basi umeniacha dada
Chizi wa penzi lako
Sitaki tena, tena, tena
Basi umeniacha dada
Chizi wa penzi lako
Sitaki tena, tena, tena
Kuonekana mjinga
Chizi wa penzi lako
Sitaki tena, tena, tena
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Dilemma (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
RAYGEE (GEORGE)
Kenya
George Ndungu (Raygee) popularly known as 'Raygee' aka George the 'Street ...
YOU MAY ALSO LIKE