Mahaba Lyrics
Na mapenzi yanabana
Yanachanganya akili
Washa hisia ukaraha
Yaani tamu pilipili
Si unajua vile nakufeel yoh
Oooh nakufeel
Si unajua kwako sina kilio
Sina akili
Usiku kucha nakuwaza
Itakuwa vipi ukiondoka?
Sa sitakuwa sina maana
Nitatembea na robokaa
Leo kifani kwako najilaza
Sitaki hata kuchoka
Sa usijefanya vioja
Ndo itakuwa tareeta
Unavyonipea raha
Naenjoy mahaba
Usije nitenga
Tuenjoy mahaba
Unavyonipa raha
Naenjoy mahaba
Usije nitenga
Tuenjoy mahaba
Na moyo huu mi nakupatia
Kamata, kazi simamia
Hakuna siku utakuja lia
Nakataa, nimekuridhia
Na penzi tamu unapoingia matata
Changanya hisia
Niwe wa kwako tena kumbatia mbambata
Aii my dear
Na kwenye penzi nimeshazama
Sisikii sioni
Napendaga usiku ukinitazama
Tukiwa ndotoni
Nakula raha naenjoy nyama
Nakulamba kuni
Si unajua ya mambo na mtu na mtu
Ndio maana sioni
Usiku kucha nakuwaza
Itakuwa vipi ukiondoka?
Sa sitakuwa sina maana
Nitatembea na robokaa
Leo kifani kwako najilaza
Sitaki hata kuchoka
Sa usijefanya vioja
Ndo itakuwa tareeta
Unavyonipea raha
Naenjoy mahaba
Usije nitenga
Tuenjoy mahaba
Unavyonipa raha
Naenjoy mahaba
Usije nitenga
Tuenjoy mahaba
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mahaba
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE