Home Search Countries Albums

Danger Lyrics


Ai! Ai! Ai!
Tragic! Tragic! Tragic! Huh!
The Quafff
Ayo Augusto!

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
Kupeana mangigi na ngega hii
Mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
Njithi na Njethi wa Ntheng'a
Kupeana mangigi na ngega hii
Mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger

Am ever the leader na sceptor
Kubarizi na njethi wa ntheng'a
As your master tayarisha chamber Kuna kikokorikoo kitachinjwa
Nipee hivi juu mih ni morio anzenza am ever in hunger stakataa mih nadema
Kuna kidudu huku chini peremba ni ya balokole
Ka za papa wemba nampin kwa bed na steppler
It’s only a minute ndo nifike centre amini usiamini ni mama gathenga
Ni Mali ya mbogi ka safi ni ndeng'a
Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
Alafu akona haga amebeba kwa picha tu ye hukuwa mtamu akiwa
Kwa picha buu Of course ni Tragic kama ni ndeng'a
Wali-admit joh mih ndo huwabeba
Am the most wanted huku mtaani reward iko over matenga
My block imejaa tu wamatha wa ploti hawaezi niseti
Si mih huwachezesha mandichu wamejipin
Tu na mabundee wanataka kuangusha huyu kijana wa ntheng'a
Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
Alafu akona haga amebeba kwa picha
Tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu
Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
Alafu akona haga amebeba kwa picha
Tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
Kupeana mangigi na ngega hii
Mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
Njithi na Njethi wa Ntheng'a
Kupeana mangigi na ngega hii
Mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Danger (Single)


Added By : The Quafff

SEE ALSO

AUTHOR

QUAFFF

Kenya

James Milo Ongige, born 4 September 2003 popularly known by his stage name Quafff, is a young Kenyan ...

YOU MAY ALSO LIKE